Posts

Asili ya Muziki - Remy Ongala

 Muziki asili yake wapi ee [what is the origins of music] Muziki ni wa nani ee [who is the owner of music] Muziki hakuna mwenyewe [music has no owner] Muziki ni mwito [music is a calling] Muziki ni fundisho [music is a lesson] Muziki maombolezo kilio [music is mourning] Usinione nikiimba [do not see me singing] Ukadhani ninayo furaha [and assume i am happy] Kumbe ninayo huzuni moyoni [yet i have sadness in my heart] Muziki ilivyo na nguvu ulimwenguni kote [music has power all over the world] Hata makanisani wanaimba  [even in churches they sing] Kwa kumuabudu mungu [to worship God] Kwa kumsifu mungu [to praise God] Hata kukiwa sherehe za serikali [Even during government functions] Mbele ya mwenyekiti kuhutubia ee [before chairman address gathering] Ni muziki unaanza kuwakusanya watu [its music that brings people together] Kumbuka Paula na Sila  [Remember Paul and Silas] waliimba gerezani mungu amewasikia [they sang in prison and God heard them] Kumbuka Musa aliimba muziki wa aina yake